Uncategorized

POGBA AINGIA ANGA ZA PSG, WAMUUNGANISHA NA DI MARIA

admin April 30, 2020 3:11 am


KLABU ya Paris St Germain,(PSG) inaelezwa kuwa imetuma ofa kwa Manchester United ili kupata saini ya kiungo mshambuliaji Paul Pogba.

Pogba mwenye miaka 27 amekuwa akihusishwa kujiunga na PSG pamoja na Real Madrid ambazo zinahitaji saini yake.

PSG wameunganisha na ofa ya kiungo wao mwenye miaka 32 Angel di Maria ambaye aliwahi kusajiliwa na Manchester United.

UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA RASTA HUYU MBUKINAFASO YUPO KWENYE RADA ZA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply