Uncategorized

RASTA HUYU MBUKINAFASO YUPO KWENYE RADA ZA SIMBA

admin April 30, 2020 3:11 am


SOGNE Yacouba, mshambuliaji anayekipiga ndani ya Asante Kotoko anatajwa kuingia anga za Simba na Azam.

Yacouba mwenye miaka 28 inaelezwa kuwa mkataba wake unameguka msimu huu hivyo atasaini akiwa mchezaji huru.

Mshambuliaji huyo inaelezwa kuwa anawatambua vema Simba kwani aliwahi kuwatungua kwenye moja ya mchezo wa Simba day Uwanja wa Taifa na ngoma ilikamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1.

Mbali na Simba inaelezwa kuwa Free State ya Ghana inahitaji saini ya nyota huyo raia wa Burkina Faso.

POGBA AINGIA ANGA ZA PSG, WAMUUNGANISHA NA DI MARIA BEKI HUYU WA SIMBA ATAJWA KUWA KIKWAZO KWA WATUPIAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply