Home Uncategorized THOMAS PARTEY APIGIWA HESABU KALI NA ARSENAL

THOMAS PARTEY APIGIWA HESABU KALI NA ARSENAL

KIUNGO Thomas Partey raia wa Ghana yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya timu ya Arsenal.

Nyota huyo raia wa Ghana amekuwa akihusishwa kutua ndani ya klabu hiyo iliyo chini ya Kocha Mkuu Mikel Arteta ambaye anataka kuboresha kikosi chake.

 Ameletwa duniani Juni 13,1993 ana umri wa miaka 26 kwa sasa.

Pia anakipiga kwenye timu ya Taifa ambapo rekodi zinaonyesha kuwa amecheza mechi 27 na ametupia jumla ya mabao 10.

SOMA NA HII  ARSENAL WASHINDA KIBABE MBELE YA BURNLEY, YAJIPIGIA VIDUDE VIWILI