Home Uncategorized WACHEZAJI WA YANGA WATAKAOPUUZIA PROGRAM ADHABU INAWAHUSU

WACHEZAJI WA YANGA WATAKAOPUUZIA PROGRAM ADHABU INAWAHUSU


CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wanawafuatilia wachezaji amba hawatafuata program waliyoachiwa adhabu itawahusu.
Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Luc Eymael waliwapa program hizo wachezaji wote ili kulinda viwango vyao.
Mkwasa amesema:”Wachezaji tunawafuatilia kujua namna gani wanafanya mazoezi na hilo lipo wazi kwani kuna baadhi ambao wamekuwa wakionyesha kwamba wanatekeleza kile walichoambiwa.
“Tumeona kupitia video walizotuma ambao ni Bernard Morrison, Haruna Niyonzima, Papy Tshishimbi, Metacha Mnata, Juma Abdul na Ally Mtoni na wengine pia hivyo tunafuatilia katika hili,”..
SOMA NA HII  NENO LA KAGERA SUGAR KWA WATANZANIA WOTE KUHUSU CORONA