Home Uncategorized BREAKING: ROBO FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO, SIMBA V AZAM FC

BREAKING: ROBO FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO, SIMBA V AZAM FC


MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC wamepangwa kumenyana na Simba kwenye mchezo wa robo fainali.


Yanga itamenyana na Kagera Sugar kwenye hatua ya robo fainali. 

Sahare All Stars itamenyana na Ndanda FC.

Namungo itamenyana na Alliance.

SOMA NA HII  ANAYEWINDWA NA YANGA AANZA KUAGA RASMI KWA MABOSI WAKE