Uncategorized

KAGERA SUGAR V YANGA MECHI YA KISASI

admin May 30, 2020 2:47 pm


KLABU ya Kagere Sugar iliyo chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime imeshaanza maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Jana ilipopangwa ratiba ya hatua ya robo fainali, Kagera Sugar itakutana na Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael.

Kagera Sugar kwenye mechi ya kwanza walipokutana na Yanga kwenye ligi kuu iliwanyoosha kwa mabao 3-0.

Ikumbukwe kuwa mechi hiyo ilikuwa ni ya kwanza kwa Mbelgiji Eymael baada ya kukabidhiwa mikoba ya Mwinyi Zahera.

Kazi itakuwa kubwa Juni 27/28 Uwanja wa Taifa ambapo itakuwa ni mechi ya kisasi.

Tayari imeshaanza mazoezi huku ikiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

BALAA LA LAMINE MORO BEKI KISIKI WA YANGA LIPO NAMNA HII MUONEKANO WA BEKI KISIKI WA SIMBA PASCAL WAWA BAADA YA KARANTINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply