Home Uncategorized PICHA LA LIGI KUU BARA LITACHEZWA NAMNA HII

PICHA LA LIGI KUU BARA LITACHEZWA NAMNA HII


MWENDELEZO wa Ligi Kuu Tanzania Bara utaanza kwa Yanga na timu nyingine zitacheza mechi za viporo
Ligi itachezwa kwa muda wa mwezi mmoja na kwa siku zitachezwa mechi tano saa 8,10,12 na saa 2 usiku ambapo mbili Chamazi, mbili Uhuru na moja Taifa.


Wadhamini wa Ligi watachangia kidogo ila timu zitajigharamia kwa asilimia kubwa gharama za kukaa Dar kwa kipindi chote cha kumalizia Ligi ambapo kila baada ya raundi moja kumalizika kutakuwa na mapumziko ya siku mbili.

Kwa upande wa Robo fainali ya FA itachezwa punde baada ya mechi za viporo kumalizika



SOMA NA HII  WACHEZAJI WAKATI HUU NI MUHIMU KUONGEZA JUHUDI ILI KUJIWEKA SOKONI