Uncategorized

MKUDE KUIKOSA RUVU SHOOTING TAIFA

admin June 12, 2020 10:47 am


JONAS Mkude, kiungo mkabaji wa Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili baada ya kupata majeruhi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC.

Mkude aliumia mguu baada ya kugongana na mchezaji wa KMC, Kelvin Kijiri, Uwanja wa Simba Mo Arena Juni 8.


Akiwa nje ya uwanja Mkude ataendelea na mazoezi mepesi pamoja na matibabu ambapo ataukosa mchezo wa Juni 14 dhidi ya Ruvu Shooting.


Kwenye mchezo huo Simba ilishinda mabao 3-1.

HAALAD ASHAURIWA KUIBUKA NDANI YA LIVERPOOL NAMUNGO:HAITAKUWA RAHISI KUPAMBANA NA COASTAL UNION

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply