Home Uncategorized HAPA NDIPO ILIPO MTIBWA SUGAR

HAPA NDIPO ILIPO MTIBWA SUGAR

MTIBWA Sugar iliyo chini ya Kocha Mkuu,  Zuber Katwila ikiwa imecheza jumla ya mechi 32 kibindoni ina pointi 37.

Safu yake ya ulinzi inayoongozwa na kinda Dickson Job imeruhusu jumla ya mabao 29 ya kufungwa.

Safu ya ushambuliaji imetupia jumla ya mabao 25 na katika mabao hayo kiungo wao Abdulrahman Humud ametupia mabao mawili.

SOMA NA HII  BREAKING: MECHI NNE KALI ZA KIRAFIKI ZA SIMBA AFRIKA KUSINI