Home Uncategorized PUMZIKA KWA AMANI MKAPA,TUJIFUNZE KWAKE

PUMZIKA KWA AMANI MKAPA,TUJIFUNZE KWAKE


Anaandika Saleh Jembe:-Picha hii ni funzo kubwa kwetu mimi na wewe ambao bado Allah anatupa zawadi ya kuendelea kuishi.

Inaonyesha Mungu ni mkubwa yetu sote na kweli kila nafasi itaonja mauti. Maana yake hivi tuendelee kuabudu, kuamini lakini kutekeleza yaliyo.

Umeona wengi wamemlilia Rais Mkapa, yako amefanya yanayotulazimisha kuhuzunika na wakati mwingine kulia. Vizuri ukatenda yaliyo sahihi bila ya woga kama alivyofanya yeye na leo ameacha kumbukumbu.

Pamoja na yote, usisahau mkubwa wetu ameandika na kupitisha kuwa kila mmoja wetu NAFASI YAKE ITAONJA Mauti, hivyo vizuri kufanya yaliyo mema kwa usahihi.

RIP BENJAMIN WILLIAM MKAPA.

SOMA NA HII  KISA CHAMA, SIMBA KUISHTAKI YANGA