Home Uncategorized SABABU ZA MORRISON KUSHIKILIWA NA POLISI DAR HII HAPA

SABABU ZA MORRISON KUSHIKILIWA NA POLISI DAR HII HAPA


KIUNGO wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison leo alikutana na joto la kukamatwa kwa muda na jeshi la Polisi Tanzania.

Jeshi la Polisi Dar limethibitisha kukamatwa kwa muda kwa Morrison katika kituo cha Oysterbay.

RPC wa Kinondoni, Rodgers Bukombe amesema kuwa Morrison alikamatwa baada ya kupishana maneno na askari waliotilia shaka gari lake.

SOMA NA HII  AZAM COMPLEX LEO NI VITA YA REKODI