Home Uncategorized VPL: MTIBWA SUGAR 1-0 YANGA

VPL: MTIBWA SUGAR 1-0 YANGA

UWANJA wa Jamhuri,  Morogoro 

Mtibwa Sugar 1-0 Yanga
Dakika ya 42 Kabwili anaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 36 Kaseke anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 28 Chanongo Goooool
Dakika ya 23 Kihimbwa anafanya jaribio linaokolewa na KabwiliDakika ya 15 Juma Abdul anamchezea faulo KibayaDakika ya 10 Yikpe anacheza faulo
Dakika ya 07 Ramadhan Kabwili anaokoa hatari na kuanzisha mashambulizi.

Dakika ya 04 Issa Rashid alifanya jaribio linakwenda nje ya lango.

SOMA NA HII  BALAA LA KAKOLANYA LIPO NAMNA HII UWANJANI