Home Uncategorized MANULA AWABURUZA MGORE NA BAROLA, ASEPA NA TUZO YAKE

MANULA AWABURUZA MGORE NA BAROLA, ASEPA NA TUZO YAKE

461
0

MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amechaguliwa kuwa Golikipa Bora wa Msimu wa 2019/20.
Tuzo imepokelewa na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki, Hashim Mbaga.


Manula alikuwa akipambana na Nourdine Barola wa Namungo FC pamoja na Daniel Mgore wa Biashara United.

Kwa msimu wa 2019/20 Manula amekiongoza kikosi cha Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara huku akijikusanyia jumla ya clean sheet 17.