Uncategorized

BEKI YANGA ‘AJIFUNGA’ MWAKA MMOJA KMC

admin August 18, 2020 6:47 pm

 

Andrew Vincent maarufu kama Dante ametambulishwa leo Agosti 18 ndani ya KMC kwa dili la mwaka mmoja kukipiga ndani ya kikosi cha wana Kino.

Beki huyo amesajiliwa akiwa huru baada ya kuachwa na Yanga msimu wa 2019/20.

Kwenye dirisha la usajili nyota huyo amekuwa wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi hicho.

MECHI YA UFUNGUZI WA LIGI KUU BARA KUPIGWA AGOSTI 30 TANO KALI ZA MWANZO KWA YANGA HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply