Uncategorized

WINGA SIMBA AIBUKIA POLISI TANZANIA

admin August 28, 2020 12:47 am

 

RASHID Juma, winga wa Simba amejiunga na Klabu ya Polisi Tanzania kwa mkopo kwa wa mwaka mmoja.

Nyota huyo msimu wa 2020/21 atakuwa ndani ya Polisi Tanzania yenye maskani yake Kilimanjaro.

Ndani ya Simba ambao ni mabingwa watetezi hakupata nafasi ya kuwika kwa msimu wa 2019/20 kutokana na ufinyu wa namba.

Pia ilipaswa atolewe kwa mkopo msimu uliopita ila nyota huyo inaelezwa kuwa hakuwa tayari ila msimu huu amekubali kuibukia ndani ya Polisi Tanzania .

YANGA YAWAITA MASHABIKI UWANJA WA MKAPA BREAKING: KOCHA MPYA YANGA ZLATICO, KUTUA KESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply