Home Uncategorized BREAKING:MORRISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA

BREAKING:MORRISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA YANGA

 

Bernard Morrison ameshinda kesi yake leo kuhusu mkataba wake 

Kamati imeeleza kuwa kulikuwa na mapungufu Kwenye Ukurasa wa saini kukutwa umekatwa ni baadhi ya vitu ambavyo vina mapungufu vimeonekana.

Pia tofauti Kwenye tarehe ambapo moja inaonyesha kuwa alisaini tarehe  20 mwezi tatu na mwingine unaonyesha tarehe tofauti

SOMA NA HII  ZAHERA AGOMA KUREJEA BONGO, ATIMKIA ULAYA