Home Uncategorized JEMBE JIPYA LA KAZI LATUA LEO KUMALIZANA NA YANGA

JEMBE JIPYA LA KAZI LATUA LEO KUMALIZANA NA YANGA

 

RASMI mshambuliaji Michael Sarpong raia wa Ghana leo Agosti 21 ametua Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao ambao wanaimarisha kikosi chao.


Sarpong yeye alikuwa anakipiga ndani ya Rayon Sports ya Rwanda na ametua leo ili kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.


Habari zinaeleza kuwa dili lake la awali ambalo alisaini ilikuwa ni la miaka miwili.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI