Home Uncategorized VPL:MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA

VPL:MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA

 UWANJA wa Jamhuri, Morogoro kwa sasa mchezo ni kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba ikiwa ni kipindi cha kwanza.

Timu zote mbili zinapambana kusaka pointi tatu muhimu huku kukiwa hakuna ambaye ameona lango la mpinzani wake.

Mashabiki wamejitokeza kushuhudia mchezo wa leo wa pili kwa timu zote msimu wa 2020/21.

SOMA NA HII  SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA IST YA KABWILI