Home Uncategorized KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU

KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU


Zuber Katwila sasa ni Kocha Mkuu wa Ihefu baada ya kubwaga manyanga Mtibwa Sugar akichukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6.

SOMA NA HII  SABABU ZA MAKOCHA MBAO FC KUBWAGA MANYANGA HII HAPA