Home Uncategorized ISHU YA MAPUNGUFU YA MKATABA WA MORRISON, SIMBA YAJIBU KIMTINDO

ISHU YA MAPUNGUFU YA MKATABA WA MORRISON, SIMBA YAJIBU KIMTINDO

 


BAADA ya Uongozi wa Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti, Fredrick Mwakalebela kudai kuwa mkataba wa mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison na mabosi wake wapya wa sasa Simba una mapungufu, uongozi wa Simba umetoa jibu la ‘kimtindo’.


Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram alitupia ujumbe ukisindikizwa na picha ya Morrison akiwa ansaini ameandika kwamba :_


SOMA NA HII  HIMID MAO: VIWANJA VYA NDEGE VIMEFUNGWA KWA SASA HAKUNA RUHUSA YA KUTOKA