Home Uncategorized MASHABIKI WA YANGA WALIOWAPIGA WALE WA SIMBA WAFUNGIWA

MASHABIKI WA YANGA WALIOWAPIGA WALE WA SIMBA WAFUNGIWA

 


TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Tanzania leo Oktoba 2 kuhusu matukio mbalimbali ambayo yamefanyiwa maamuzi baada ya Kamati ya Kusimamia Ligi Kuu Bara kupitia matukio mbalimbali.


Miongoni mwa waliopewa adhabu ni pamoja na mashabiki wa Klabu ya Yanga ambao waliwapiga mashabiki wa Simba na kuwachania jezi,kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.


Adhabu waliyopewa ni pamoja na faini na kufungiwa kutoingia uwanjani kwa muda wa miezi 12 












SOMA NA HII  SIMBA YATAJA SABABU YA VIINGILIO KUWA BUKU TATU