Home Uncategorized VIDEO: NAMNA YANGA WALIVYOMALIZANA NA KAZE

VIDEO: NAMNA YANGA WALIVYOMALIZANA NA KAZE

 


NAMNA Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze alivyomalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili leo Oktoba 16 akichukua mikoba ya Zlatko Krmpotic 


Kaze amesaini dili la miaka miwili baada ya kutua Bongo usiku wa leo akitokea nchini Canada ambapo alikuwa akiishi.

Krmpotic alifutwa kazi Oktoba 3 kutokana na mwendo wake kutowafurahisha mabosi wake wa Yanga ndani ya kikosi hicho na aliondoka timu ikiwa imecheza mechi tano na kushinda nne na sare moja ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons:-




SOMA NA HII  KABLA YA LIGI HAIJAMALIZIKA, UBINGWA LIGI KUU WATAJWA SIMBA