Home Uncategorized BREAKING:MECHI ZA SIMBA ZAWAPA ADHABU MWADUI NA KAGERA SUGAR

BREAKING:MECHI ZA SIMBA ZAWAPA ADHABU MWADUI NA KAGERA SUGAR

 


TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Leo Novemba 22, Kocha Mkuu wa Mwadui FC Khalid Adam amefunguwa kuiongoza timu yake katika michezo miwili kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano na Wanahabari mara baada ya mchezo dhidi ya Simba, Uwanja wa Uhuru.





SOMA NA HII  SAKATA LA YANGA KUNG'OA VITI JAMBO LINAMALIZWA HIVI WIZARA YATOA TAMKO