Home Uncategorized VPL: SIMBA 2-0 KAGERA SUGAR

VPL: SIMBA 2-0 KAGERA SUGAR


 KIKOSI cha Simba kimetangulia leo ndani ya dakika 45 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru dhidi ya Kagera Sugar.


Kwa sasa tayari kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Uhuru.


Bao la kwanza kwa Simba limefungwa na nahodha John Bocco kwa mkwaju wa penalti baada ya mwamuzi kutafsri kuwa Hassan Dilunga amechezewa faulo na David Luhende ndani ya 18.


Bao hilo limepachikwa dakika ya 42 kwa mkwaju ambao ulimpoteza mlinda mlango Benedict Tinocco.


Iliwachukua dakika mbili Simba kufunga bao la pili kupitia kwa  Said Ndemla dakika ya 45+3 kwa pasi ya Clatous Chama.

SOMA NA HII  SVEN ATOA NENO KIMATAAIFA, RAMANI IMECHORWA NAMNA HII