Uncategorized

YANGA WAMVUTIA KASI NYOTA HUYU MGHANA

admin December 5, 2020 6:47 am

 


MSHAMBULIAJI Stephen Sey nyota wa Namungo raia wa Ghana anatajwa kuingia rada za Yanga ambayo inanolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kwa lengo la kuboresha safu ya ushambuliaji.


Ikiwa ipo nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi 13 imefunga jumla ya mabao 15 na mtupiaji wao namba moja ni Michael Sarpong mwenye mabao matatu.

BRUNO BANA, KUMBE ALIWAKA KINOMA KWA OLE SIMBA: MCHEZO WETU UTAKUWA MGUMU, MASHABIKI WATUPE SAPOTI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply