Home Uncategorized SIMBA YAICHAPA MAJIMAJI MABAO 5-0

SIMBA YAICHAPA MAJIMAJI MABAO 5-0


KLABU ya soka ya Simba imeanza vizuri kampeni yake ya kutetea kombe la FA baada ya kuibamiza Majimaji kutokea Songea mabao 5-0.

Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Gadiel Michael, Chris Mugalu, Luis Miquissone, Meddie Kagere na Ibrahim Ame

SOMA NA HII  SINGIDA UNITED YA MINZIRO YASAKA WACHEZAJI 10 KATI YA 500