Uncategorized

YANGA IPO KAMILI GADO KUIVAA PRISONS

admin December 28, 2020 9:47 am

 


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara ambao utakuwa ni wa raundi ya pili dhidi ya Tanzania Prisons.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Desemba 31, Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa.


Yanga inakutana na Prisons ikiwa na kumbukumbu ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa raundi ya kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa.


Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo huo na wanahitaji pointi tatu muhimu.

MTAMBO WA MABAO KAGERA SUGAR WAFUNGUKIA USAJILI WAKE YANGA SVEN AWAKA SIMBA, ATAKA KUBEBESHWA ZIGO LA LAWAMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply