Home Uncategorized RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 23

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO DESEMBA 23

 


LIGI Kuu Bara leo Desemba 23 inaendelea kuchanja mbuga mdogomdogo ambapo kwa sasa  namna ni mzunguko wa 17.


Hizi hapa zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu namna hii:-

Ihefu iliyo nafasi ya 16 na pointi 13 itamenyana na Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 40 ngoma itapigwa Uwanja wa Sokoine. 


JKT Tanzania iliyo nafasi ya 15 na pointi 14 itakutana na  KMC, iliyo nafasi ya 9 na pointi 21 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. 

Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 8 itamenyana na Dodoma Jiji, iliyo nafasi ya 12 na pointi 19. Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

SOMA NA HII  MASTAA WATANO WA SIMBA NJE KIKOSI CHA KWANZA LIGI IKIREJEA