Home Uncategorized RUVU SHOOTING YAWEKA REKODI YA KIBABE

RUVU SHOOTING YAWEKA REKODI YA KIBABE

 


RUVU Shooting kwa msimu wa 2020/21 imeweka rekodi ya kuwa timu pekee iliyo ndani ya tano bora ikiwa chini ya Kocha Mkuu,  Charles Mkwasa ambaye ni mzawa.


Pia ni mzawa wa Kwanza kwa msimu huu kutwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi, alitwaa ile ya Novemba. 


Nafasi ya kwanza ipo  kwa Mrundi Cedric Kaze wa Yanga, nafasi ya pili ipo kwa Mbeligiji Sven Vandenbroeck wa Simba, nafasi ya tatu ipo kwa George Lwandamina wa Zambia na nafasi tano ipo kwa Biashara United inayonolewa na Francis Baraza wa Kenya.

SOMA NA HII  NYOTA SABA WA SIMBA KUIKOSA MBEYA CITY KESHO, SOKOINE