Home Uncategorized MAKUNDI LIGI YA MABINGWA, SIMBA MIKONONI MWA WAARABU WA MISRI

MAKUNDI LIGI YA MABINGWA, SIMBA MIKONONI MWA WAARABU WA MISRI


 LEO Januari 8 droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika impengwa huku Simba ikipangwa kundi A ma vigogo Al Ahly ya Misri kwenye kusaka ushindi wa kutinga hatua ya robo fainali.


Makundi yamepangwa namna hii leo:-

Kund A

Al Ahly ya Misri

AS Vita ya Congo

Simba ya Tanzania

El Merreikh ya Sudan


Kund B

TP Mazembe ya Congo

Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini

Al Hilal ya Sudan

CR Beloulzadad ya Algeria


Kundi C


Wydad Athletic  ya  Morocco

Horoya ya Guinea

Atletico Petroleos ya Angola

Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini


Kundi D

E.S.T ya Tunisia

Zamalek ya Misri

MC Alger ya Algeria 

Teungueth FC ya Senegal

SOMA NA HII  UD SONGO WALIISHINDA SIMBA KWA KUTUMIA SILAHA ZA SIMBA, WAKATI WA KUNYANYUKA NA KUSONGA MBELE NI SASA