Home Taifa Stars HILI HAPA JESHI LA STARS LITAKALOIVAA ZAMBIA LEO

HILI HAPA JESHI LA STARS LITAKALOIVAA ZAMBIA LEO


KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza kwenye mchezo wa leo dhidi ya Zambia utakaopigwa kwenye uwanja wa Limbe Omnisport, Limbe Cameroon majira ya saa 1:00 kwa saa za Afrika Mashariki.

Kila la kheri Taifa Stars

SOMA NA HII  TANZANIA vs UGANDA ....TAZAMA MECHI HII LIVE KUPITIA LINK HAPA...