Home Yanga SC BREAKING:OFISA HABARI WA YANGA,BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU

BREAKING:OFISA HABARI WA YANGA,BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU

 


BREAKING: OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa miaka mitatu kutojihusisha na soka nje na ndani ya Tanzania kwa kutolipa faini ya milioni tano aliyopaswa kulipwa mwaka jana.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) imeeleza kuwa mbali na Bumbuli pia Katibu wa Klabu ya Lipuli FC, Julius naye amefungiwa. Taarifa imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  YANGA SC YATOA WAWILI KIKOSI BORA SHIRIKISHO