Home Ligi Kuu RUVU SHOOTING YATULIZWA MBELE YA IHEFU,YAPIGWA 2-0

RUVU SHOOTING YATULIZWA MBELE YA IHEFU,YAPIGWA 2-0


 IHEFU wameipapasa Ruvu Shooting mabao 2-0, mtupiaji ni Issa Ngoah..


Kwa maana hiyo Ihefu FC wameifunga Ruvu Shooting nje ndani msimu wa 2020/21.


Mzunguko wa Kwanza Uwanja wa Sokoine,  Ihefu ilishinda bao 1-0.

SOMA NA HII  HUYU HAPA KIBOKO YA YANGA...INJINI YA MAGOLI AZAM FC...TISHIO KUBWA LIGI KUU