Home Yanga SC NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO Yanga SC NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Dickson Job, beki wa kati wa Klabu ya Yanga anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Uwanja wa Sokoine Mbeya. Pia Saido Ntibanzokiza naye pia ataukosa mchezo wa leo. SOMA NA HII SAA CHACHE KABLA YA KUKIPIGA NA MAMELOD...NABI AMNG'ATA SIKIO GAMONDI....ALICHOMWAMBIA HIKI HAPA...