SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Azam wameleta mpango wa kufunga Taa katika viwanja 4 ili kuepuka mechi za saa nane mchana ambazo zinawachosha wachezaji..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx