Home Simba SC JESHI LA SIMBA LINALOPEWA NAFASI KUWAVAA WAARABU KESHO

JESHI LA SIMBA LINALOPEWA NAFASI KUWAVAA WAARABU KESHO


KESHO Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Al Ahly ya Misri utakaochezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 10:00

Hili hapa jeshi linapewa nafasi ya kuanza kesho mbele ya Waarabu wa Misri:- Aishi Manula

Shomari Kapombe

Pascal Wawa

Joash Onyango

Mohamed Hussein

Thadeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Clatous Chama

Bernard Morrison

Chris Mugalu

Luis Miquissone

SOMA NA HII  KISA SIMBA NA YANGA...WADHAMINI LIGI KUU WAIBUKA NA HOJA MPYA...WAWEKA WAZI VIAUMBELE VYAO...