Home news MAMLAKA YA ANGOLA YADAI KUWA WACHEZAJI WATATU NA KIONGOZI MMOJA ANA CORONA

MAMLAKA YA ANGOLA YADAI KUWA WACHEZAJI WATATU NA KIONGOZI MMOJA ANA CORONA


 KIKOSI cha Namungo FC kimezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda, nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona.


Mpaka wakati wa kuandika taarifa hii timu ipo uwanja wa ndege huku utata ukitawala kutokana na mamlaka za nchi hiyo kutaka msafara mzima ama urudi Tanzania au uende karantini.

Namungo ipo Angola kwa ajili ya kuchuana na Clube Desportivo 1ยบ de Agosto katika mechi ya Kombe la Shirikisho.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Februari 14 na kikosi kilikwea pipa jana kikiwa na msafara wa wachezaji 22 pamoja na viongozi.

SOMA NA HII  SIMBA, YANGA WAIBIANA MBINU, KAZIKAZI KOTE MPAKA KIELEWEKE