Home Yanga SC ORODHA YA NYOTA NANE WA YANGA NDANI YA TAIFA STARS

ORODHA YA NYOTA NANE WA YANGA NDANI YA TAIFA STARS


IKIWA leo Februari 26, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Pousen akiwa ametanga kikosi cha wachezaji watakaoingia kambi Machi 8 amewaita nyota nane kutoka Yanga.

Stars itakuwa na mechi mbili za kirafiki dhidi ya Kenya kabla ya kucheza mechi mbili za kufuzu Afcon.


Hawa hapa nyota nane wa Yanga ndani ya Stars:- Metacha Mnata yeye ni kipa namba moja ndani ya kikosi cha Yanga.

 Bakari Nondo Mwamnyeto yeye ni beki wa kati.

 Dickson Job pia ni beki wa kati.

 Yassin Mustapha yeye ni beki wa pembeni.

 Feisal Salum ‘Fei Toto’, yeye ni kiungo mkabaji.

 Farid Mussa yeye ni kiungo mshambuliaji.

 Ditram Nchimbi yeye ni mshambuliaji.

 Deus kaseke yeye ni kiungo ndani ya kikosi cha Yanga.

SOMA NA HII  BAADA YA YANGA KUTEMA KOMBE LA MAPINDUZI ..KAZE AFUNIKA USO CHINI..ATAJA WACHEZAJI WALIOMFELISHA...