Home Simba SC SIMBA WAANZA SAFARI YA KUIFUATA VITA DR CONGO

SIMBA WAANZA SAFARI YA KUIFUATA VITA DR CONGO


 KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Simba tayari kimewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, kwa ajili ya kuanza safari yao ya kwenda nchini DR Congo kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita.

Simba inatarajiwa kuivaa Vita katika mchezo wa kwanza wa kundi A hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika, mchezo utakaopigwa siku ya Ijumaa Februari 12, mwaka huu.

SOMA NA HII  ROBERTINHO:- TUSITAFUTE MCHAWI....SIKUHUSISHWA KWENYE USAJILI WA SIMBA...RAJA WALIKUWA BORA MNOO...