Home Simba SC UZI MPYA WA SIMBA KIMATAIFA WAITANGAZA TANZANIA SEKTA YA UTALII

UZI MPYA WA SIMBA KIMATAIFA WAITANGAZA TANZANIA SEKTA YA UTALII

 KLABU ya Simba imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA  kwenye jezi ambazo zitatumika katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imetinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya FC Platinum kwa mabao 4-0, Uwanja wa Mkapa.

Makubaliano hayo ambayo yamefanyika leo Februari 5, makao makuu ya nchi Dodoma.

SOMA NA HII  AHMED ALLY : YANGA WATATOLEWA TU...WANATAKIWA KUWA NA CHAMA ILI WASHINDE KESHO...