Home Ligi Kuu KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO, UWANJA WA MKAPA DHIDI YA WAJEDA JKT...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO, UWANJA WA MKAPA DHIDI YA WAJEDA JKT TANZANIA

 

LEO Didier Gomes, Kocha Mkuu wa Simba ataongoza kikosi chake kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Mkapa, saa 1:00 usiku.

Hiki hapa kikosi cha Simba kitakachoanza leo Machi, Mosi:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Tshabalala

Nyoni

Wawa

Keneddy Juma

Chama

Lwanga

Mugalu

Mzamiru

Luis

SOMA NA HII  BAADA YA KELELE ZA UDHAMINI WA GSM KWENYE LIGI KUU KUWA NYINGI...RAIS TFF AIBUKA NA HILI JIPYA...