Home Namungo FC HT: NAMUNGO 0-0 PYRAMIDS

HT: NAMUNGO 0-0 PYRAMIDS

 UWANJA wa Mkapa


Kombe la Shirikisho 


Namungo FC 0-0 Pyramids 

Dakika ya 45 mchezaji wa Pyramids anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 42 Namungo wanapeleka mashambulizi Pyramids 

Dakika ya 37 Pyramids wanapata faulo inaokolewa na Nahimana

Dakika ya 35 mchezaji Pyramids anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 32 Pyramids inapeleka mashambulizi Namungo FC 

Dakika ya 26 Kichuya anapiga shuti ndani ya 18 linaokolewa na kipa, Sey anarudia anakosa

Dakika ya  25 Kichuya anaotea

Dakika ya 24 Nzigamasabo anapelekea mashambulizi Pyramids 

Dakika ya 22 Kichuya anapiga kona haileti matunda


Dakika ya 16 Namungo wanafanya jaribio halileti matunda

Dakika ya 6 Nahimana anaokoa hatari

SOMA NA HII  KICHUYA AZIDI KUWA WA MOTO LIGI KUU....ATUPIA GOLI TATU MWENYEWE...JAHAZI LA MTIBWA LAZIDI KUZAMA LIGI KUU..