Home CAF LIGI YA MABINGWA AFRIKA: AL MERRIKH 0-0 SIMBA

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: AL MERRIKH 0-0 SIMBA

 


UWANJA wa Al Hilal

Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi 


Al Merrikh 0-0 Simba

Zimeongezwa dakika 2

Dakika ya 45 Chama anachezewa faulo 

Dakika ya 44 Lwanga anapoteza mpira

Dakika ya 43 Chama anachezewa faulo 

Dakika ya 38 Chama anapiga faulo inaokolewa na kipa wa Al Merrikh baada ya mchezaji wa Al Merrikh kumuonyesha sehemu utakaopigwa mpira

Dakika ya 37 Mugalu 

anachezewa faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 36, Mzamiru Yassin anacheza faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 34 Tshabalala anacheza faulo 

Dakika ya 33 Al Merrikh wanapata faulo inaokolewa na mabeki wa Simba

Dakika ya 32 Luis aƱaingia na mpira ndani ya 18 anachezewa faulo mwamuzi anapeta

Dakika ya 31 Ramadhan Abdala ambaye ni nahodha anapiga faulo inakwenda nje kidogo ya lango la Kakolanya

Dakika ya 30, Bwalya 

anachezewa faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 27 Kakolanya anaokoa hatari iliyopigwa na mshambuliaji wa Al Merrikh akiwa nje ya 18 huku mabeki wakikaba kwa macho

Dakika ya 25 Beno Kakolanya anafanya kosa kuokoa kona inakutana na kifua cha mchezaji wa Al Merrikh inagonga mwamba

Dakika ya 24 Wawa anapelekwa na mchezaji wa Al Merrikh nje kidogo ya 18 na kusababisha kona

Dakika ya 20 Chama anapeleka mashambulizi Al Merrikh yanazuiwa na mabeki wa timu pinzani

Dakika ya 18 Ramadhan anapiga faulo inamshinda Kakolanya kuokoa ila inakwenda nje ya lango 

Dakika ya 16 Chama anachezewa faulo 

Dakika ya 15 Mzamiru anaokoa hatari kwa kutoa nje mpira

Dakika ya 14 Mugalu anafanya jaribio ndani ya 18 linazuiwa na mabeki wa Al Merrikh 

Dakika ya 12 Al Merrikh wanafanya jaribio kwa mpira wa faulo nje kidogo ya 18, mabeki wa Simba wanakaba kwa macho, unatoka nje 

Dakika ya 11 Hamza Awood ametoka anaingia Ramadhan kwa Al Merrikh 

Dakika ya 9 Chama anatoa pasi ndani ya 18 inaokolewa na mabeki wa Al Merrikh 

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA YANGA...CAF WAISHTUKIA JANJA JANJA YA AL HILAL...WATOA ONYO KALI KWA WASUDANI...

Dakika ya 6 Luis anapiga faulo haizai matunda 

Dakika ya 5 Chris Mugalu anachezewa faulo 

Dakika ya 4 Onyango anaanua majalo

Dakika ya 3 Kakolanya anaokoa hatari ya mpira wa faulo iliyopigwa moja kwa moja

Dakika ya 2 Tshabalala anapeleka mashambulizi El El Merrikh 

Dakika ya 1 Kakolanya anaokoa 


Sekunde ya 55 Lwanga anacheza faulo ya Kwanza