Home Yanga SC VIONGOZI NA WACHEZAJI WA YANGA WAMUAGA HAYATI RAIS JPM, MAJONZI YATAWALA

VIONGOZI NA WACHEZAJI WA YANGA WAMUAGA HAYATI RAIS JPM, MAJONZI YATAWALA

  


Kikosi cha timu ya Yanga kikiongozwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo Dkt. Mshindo Msolla kimepata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye |Uwanja wa Uhuru.

SOMA NA HII  MAPEEMA KABISA...YANGA WAANZA 'KUWAPIGA NDOIGE' AZAM FC...MAYELA ATAJWA...