Home Ligi Kuu VIDEO: KMC, HAIKUWA BAHATI YETU, ALIA NA FAULO ILIYOLETA BAO KWA YANGA

VIDEO: KMC, HAIKUWA BAHATI YETU, ALIA NA FAULO ILIYOLETA BAO KWA YANGA

MTUPIAJI wa bao la KMC wakati wakilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Yanga Uwanja wa Mkapa David Bryson anasema kuwa haikuwa bahati yao kupata ushindi licha ya kupambana mbele ya vinara hao wa ligi

 

SOMA NA HII  VIDEO: KIPA WA DODOMA JIJI AKUBALI UWEZO WA SIMBA