Home news BREAKING: SIMBA YAMALIZANA NA MTAMBO HUU WA MABAO

BREAKING: SIMBA YAMALIZANA NA MTAMBO HUU WA MABAO


 MTAMBO wa mabao ndani ya Simba ambaye pia ni nahodha, John Bocco naye ameongezewa mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.

Bocco ambaye ni mzawa wa kwanza kufunga mabao zaidi ya 100 ndani ya Ligi Kuu Bara mkataba wake ulikuwa unafika ukingoni msimu wa 2020/21 utakapomeguka.

Anakuwa mchezaji wa pili kutambulishwa rasmi kuongeza mkataba ndani ya Simba baada ya nahodha msaidizi Mohamed Hussein kuongeza dili lake.

Kwenye Ligi Kuu Bara, msimu huu Bocco ametupia mabao 10 na ana pasi mbili za mabao.

SOMA NA HII  MAYELE AJIPA KAZI YANGA