IKIWA tetesi zinaeleza kwamba mkataba wa nyota wa Simba, Mohamed Hussein kuhitajika na Yanga, meneja wa mchezaji huyo ameweka wazi kuwa mkataba wake kweli unakaribia kuisha na nyota huyo anafuatiliwa na mataifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na timu ya Afrika Kusini