Home Uncategorized MASAU BWIRE YAMKUTA NAYE MAJANGA

MASAU BWIRE YAMKUTA NAYE MAJANGA


 MASAU Bwire, Ofisa Habari wa timu ya Ruvu Shooting amepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya TFF kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwenye vyombo vya habari na kauli za maudhi kwa viongozi wa timu ya Polisi Tanzania FC.

Imeelezwa kuwa taarifa hizo alizitoa katika mchezo uliochezwa Februari 22, 2020 uwanja wa Ushirika mkoani Kilimanjaro.

SOMA NA HII  COASTAL UNION:BADO TUTAZIDI KUPAMBANA, KESHO WANA KIBARUA MBELE YA KAGERA SUGAR