Home Ligi Kuu KMC: YANGA WALISHINDWA KUTUMIA NAFASI, NASI PIA

KMC: YANGA WALISHINDWA KUTUMIA NAFASI, NASI PIA

NYOTA wa kikosi cha KMC ambaye yupo kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba, Charlse Ilanfya amesema kuwa Yanga ilipata nafasi nyingi ila ilishindwa kuzitumia na wao walipambana ila walishindwa kupata ushindi

 

SOMA NA HII  BIASHARA UNITED KAMILI GADO KWA MZUNGUKO WA PILI