Home Azam FC ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA AZAM FC WALIOIFUATA JKT TANZANIA, DODOMA

ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA AZAM FC WALIOIFUATA JKT TANZANIA, DODOMA

 


BAADA ya kumalizana na Mtibwa Sugar, mchezo wa Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-1 kikosi cha Azam FC leo kimeanza safari ya kuwafuata JKT Tanzania, Dodoma. 

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Ijumaa, Aprili 16.

Hawa hapa wachezaji waliopo Kwenye msafara:-


1.Wilbol Maseke

2.Benedict Haule

3.Mathias Kigonya

4.Braison Rafael

5.Prince Dube

6.Nico Wadada

7.Abdul Haji Omar ‘Hamahama

8.Bruce Kangwa

9.Paschal Msindo

10.Mudathir Yahya

11.Aubrey Chirwa

12.Never Tigere

13.Danny Amoah

14.Abdallah Kheri Sebo

15.Ally Niyonzima

16.Idd Suleiman Nado

17.Awesu Ally Awesu

18.Ayoub Lyanga

19.Yakubu Mohamed 

20.Ismail Aziz Kader

21.Agrey Morris

22.Mpiana Monzinzi

23.Emmanuel Kabelege

24.Yahya Zayd

25.Salum Abubakary ‘Sure Boy’

SOMA NA HII  PAMOJA NA KAZI ZOTE CHAFU ANAZOFANYA..MKUDE ANAFUNGA MWAKA KWA REKODI HII..